Posts

Showing posts from May, 2017

MTANZANIA MWENYE UMRI MDOGO AHITIMU PhD YA UCHUMI NCHINI SWEDEN

Mtanzania Martin Chegere (30) ameweka rekodi ya kuwa mmoja ya Watanzania wenye umri mdogo zaidi kuhitimu Shahada ya Uzamivu (Ph.D) katika Uchumi. Martin alipitishwa jana na Chuo Kikuu cha Gothenburg nchini Sweden. Mafanikio ya Martin katika ku×kia kiwango hicho cha elimu kwa umri humo mdogo umepongezwa na wengi kutokana na ukweli kwamba ni kazi ngumu kwa nchi za kiafrika ku×kia kiwango hicho katika umri mdogo namna hiyo kutokana na mfumo wa elimu na maisha kwa ujumla. Martin Chegere ambaye sasa anafundisha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) katika Idara ya Uchumi, alisoma Shahada Uzamivu (PhD) katika vyuo viwili vya UDSM Tanzania na kile cha Gothenburg nchini Sweden. Chegere amekuwa na historia nzuri katika maisha yake ya kitaaluma ambapo matokeo ya kidato cha nne mwaka 2004 aliibuka na kushika namba moja kwa ufaulu nchini (Tanzania One). Elimu yake ya sekondari alisoma Maua Seminary mwaka 2001 hadi 2004 mkoani Kilimanjaro. Aliendelea na elimu ya kidato cha tano na sita katik...

Justinian Rweyemamu - Tanzania’s first Major Economics Scholar

Justinian F. Rweyemamu  (28 September 1942 – 30 March 1982) was  Tanzania ’s first major economics scholar. Considered by many as the outstanding representative of the post-independence African scholars, he was also a pan-Africanist, political strategist, and international civil servant. Early life and education Rweyemamu was born on 28 September 1942 in Katoma, a small village in the outskirts of  Bukoba  town located in  Kagera Region ,  Tanzania . In 1958 he joined St. Thomas More College Ihungo, a Catholic Secondary School in  Bukoba , and in 1961 graduated top of his class. He then went to the USA on a scholarship to pursue undergraduate education on the eve of his country’s independence from the British. He enrolled at  Fordham University , where he majored and graduated with a Bachelor of Science degree in Economics, Applied Mathematics and Philosophy (1965). At Fordham he was an active member of the university's Economics club an...