Hesabu 23:19 inasema:

Mungu si mtu, aseme uongo; wala si mwanadamu, ajute. Je! Yeye alisema, naye hatalitenda? Au amenena, naye hatalitimiza?”

Maana yake kwa ufupi

Aya hii inatufundisha kwamba Mungu ni mwaminifu na habadiliki kama wanadamu. Anaposema jambo, ana uwezo na uaminifu wa kulitenda na kulitimiza.

Comments

Popular posts from this blog

MTANZANIA MWENYE UMRI MDOGO AHITIMU PhD YA UCHUMI NCHINI SWEDEN

LOCAL GOVERNMENT AUTHORITIES IN TANZANIA

Justinian Rweyemamu - Tanzania’s first Major Economics Scholar